KILIMO BORA CHA VITUNGUU SAUMU
Vitunguu saumu ni jamii ya vitunguu maji asili yake ni nchi za Asia lakin pia usitawi katika nchi za kitropik kwa hapa tanzania ustawi katika mikoa ya singida,Arusha,Iringa na Mbeya. pia utumika kama kiungo cha chakula dawa kwa binadamu na wanyama pia na pia utumika kutengeneza mafuta pia harufu yake kali ufukuza wadudu waalibifiu shambani.
hivyo shamba la vitunguu swaumu haliwi na wadudu wa halibifu sana ukiringanisha na mazao mengine.
AINA YA VITUNGUU SAUMU
Kitaalam bado aijafahamika kunaaina ngapi za vitunguu saumu lakini kuna aina mbili ambazo zinalimwa hapa nchini ni Kienyeji na kisasa.
Aina ya kisasa uzaa vitunguu vikubwa venye ngozi nyeupe napia aina ya kienyeji uzaa vitunguu vyekundu vyenye harufu kali sana na pia havia haribiki mapema ukilinganisha na vya kisasa
vitunguu saumu havizai mbegu halisi kwa hyo uzalishwa kwa kutumia vikonyo vyake
- fusari muozo-unasababishwa na ukungu katika majani au miziz na pia unaweza kudhibiti kwa kuchoma masalia ya mimea baada ya kuvuna
- kutu ya majani-mmea unakua na vinundu vya ukngu vyenye rangi ya kahawia kama kutu katika majani tumia dawa ya ukungu kama fungaran nabayfidan na nordox ili kuzuia
- kuoza kwa vitunguu-ukungu wa rangi ya blue ufunika vitunguu na usabibisha vitunguu kuoza na utokea gharan vuna kwa uangalifu ili kuepusha michubuko na hakikisha store ni safi
- baka jani-vidonda vidogo hutokeza katika majani na badae vinakua vikubwa epuka kumwagilia maji mengi kupita kiasi na tumia mzunguko wa mazao
- muozo shingo-shingo kuonyesha dalili ya majimaji weka mbolea ya ntrogen kama CAN,UREA na mwagilia maji ya kutosha hasa vinapo elekea kuvunwa
Wadudu kama chawa wekundu nondo na funza wanakata miche na mizizi tumia dawa ya karate,selecron,novthin,dursban hutumika kuuwa wadudu
KUVUNA
Vitunguu uvunwa vikifika miezi 6-7 baada ya kupanda majani na mashina unyesha dalii ya kukauka viache vitunguu shambani mpaka majani yanap kauka kabisa ngoa kwa mkono au jembe na pia kua muangalifu ili kuepusha kuchubua vitunguu
Post a Comment