Leo napenda nikuonyeshe baadhi ya magonjwa ambayo huwapata kuku mara kwa mara , dalili, chanjo na tiba.
hivyo kua nami ili kupata elimu hiyo
UTANGULIZI
Magonjwa husababishwa na vitu vifuato
Huu ni ugonjwa ambao unaweza kuwapata kuku wadogo na wakubwa na pia husababishwa na virusi
DALILI
Ni ugonjwa ambao unasababishwa na virusi pia , virusi usambazwa kutoka kwa kuku alie athilika kupitia kinyesi
DALILI
Pia ugonjwa huu hauna tiba ila kuku anatakiwa kupewa chanjo ya gumboro siku ya 14
NDUI YA KUKU/FOWL POX
Pia ugonjwa huu husababishwa na virusi ba uhasiri sana vifaranga wanaokua na hujitokeza zaidi wakati wa mvua
DALILI
Kuku hua na vipele kama nundu kichwani
pia kuku huzoofika
hupoteza hamu ya kula
CHANJO NA TIBA
Chanjo itolewe kabla ya msimu wa mvua kubwa kuanza'
dawa za kuua vimelea kama joto ya vidonda hupunguza makali ya vidonda
KOKSIDIOSIS
Ni ugonjwa wa vimelea na uhathiri sana kuku wakiwa na umri mdogo kuanzia umri wa wiki 1
DALILI
Minyoo siku zote hukaa tumboni na inamadhala kama yafuatayo
Unaweza kuwatibu kwa kutumia dawa kama vile PIPERAZINE
hivyo kua nami ili kupata elimu hiyo
UTANGULIZI
Magonjwa husababishwa na vitu vifuato
- virusi
- bacteria
- protozoa
- upungufu wa viini lishe
Huu ni ugonjwa ambao unaweza kuwapata kuku wadogo na wakubwa na pia husababishwa na virusi
DALILI
- Kuku kuacha kula
- kuharisha
- kutoa machozi
- kutoa kamasi
- kupumua kwa shida
- wengine upooza kuzungusha kichwa na kutembea kinyumenyume
- Ugonjwa huu hauna tiba ila unaweza kukinga kwa kumpa chanjo kila baada ya miezi mitatu
Ni ugonjwa ambao unasababishwa na virusi pia , virusi usambazwa kutoka kwa kuku alie athilika kupitia kinyesi
DALILI
- Dalili huanza kuonekana kuanzia wiki ya 6 hadi 18
- kuku uharisha majimaji
- maambukizi yanaweza kufikia 100%
Pia ugonjwa huu hauna tiba ila kuku anatakiwa kupewa chanjo ya gumboro siku ya 14
NDUI YA KUKU/FOWL POX
Pia ugonjwa huu husababishwa na virusi ba uhasiri sana vifaranga wanaokua na hujitokeza zaidi wakati wa mvua
DALILI
Kuku hua na vipele kama nundu kichwani
pia kuku huzoofika
hupoteza hamu ya kula
CHANJO NA TIBA
Chanjo itolewe kabla ya msimu wa mvua kubwa kuanza'
dawa za kuua vimelea kama joto ya vidonda hupunguza makali ya vidonda
KOKSIDIOSIS
Ni ugonjwa wa vimelea na uhathiri sana kuku wakiwa na umri mdogo kuanzia umri wa wiki 1
DALILI
- Kuku kudhoofika
- manyoya huvulugika
- kuku kuzubaaa
- kinyesi hua kahawia hau kujaa damu
- kuku kua kama amevaa koti
- Kokisidiosis hutibiwa kwa dawa maalum kama AMPROLLIUM au SULFA
- dawa huzuia kuitokeza kwa ugonjwa pindi inapo tumika ipasavyo.
Minyoo siku zote hukaa tumboni na inamadhala kama yafuatayo
- kupunguza kutaga
- kuharisha
- kupoteza uzito
Unaweza kuwatibu kwa kutumia dawa kama vile PIPERAZINE
VIROBOTO UTITILI
Viroboto hukaa katika sehemu tofauti mbali mbali za mwili hasa ushambuli sehemu za kichwa
TIBA NA KINGA
Tumia dawa za kuua wadudu kama AKHERI POWDER au SEVIN DUST wamwagie kuku pamoja na maeneo wanayo ishi
pia unaweza kutumia PROMECTIN - ORAL 100ML
0 Comments