Wafugaji wa Nguruwe: yafahamu mambo ambayo hutakiwi kuyafanya

Wafugaji wengi wa nguruwe wameishia kuferi, wengi wamekataa tamaa wakijua kua nguruwe hawana faida. Lakin hawafahamu kwamba wao wamechangia kwa asilimia kubwa katika kushindwa kwao.
Hi inatokana na wafugaji wengi wa nguruwe wamekua wakifanya mambo ambayo ni hatari bila wao kujua, na hi imesababisha nguruwe wait, kudumaa, kufa, kuugua magonjwa mengi na hata wengine kuto leta faida.
Tazama video hapo chini kufahamu ni mambo gani hasa unayotakiwa kuyaepuka wewe kama mfugaji wa nguruwe.
Na bofya SUBSCRIBE kua karibu nasi 👇

Wasiliana nasi kupitia
rubabaimani@gmail.com
+255764148221

Post a Comment

0 Comments