Mambo
muhimu ya kuzingatia kabla ya kutengeneza
chakula cha nguruwe.
· Chakula lazima kiwe na makundi yote manne ya chakula yaani wanga, protini, vitamin na madini
· Fomula zinawezakubadilika kutokana na upatikanaji wa marighafi
· Kuchemsha huongeza radha ya chakula na kuongeza hamasa kwa nguruwe kula chakula.
·
Aina ya michanganyo bora huzingatia
mahitaji mbalimbali ya kundi la nguruwe mfano wanaonyonyesha, wanaokuoa n.k
Wakati wakuchanganya chakula hakikisha
unachanganya katika uwiano sahii, Ili kuwezesha nguruwe kupata kiasi sahihi cha
virutubisho
- Chakula cha kutia nguvu mwili(Wanga)65-75%
- Vyakula vya kujenga mwili(protein)20-25%
- Vyakula vya vitamin 2- 3%
- Madini1.5 – 2%
HATUA ZA KUPATA MIONGOZO WA CHAKULA NA MUONGOZO UFUGAJI BORA
1. FANYA MALIPO KUPITIA NAMBA ZETU 0764148221 JINA IMANI LUBABA EMMANUEL
2. TUJULISSHE KUPITIA WATSUP KWA NAMBA HIYO AU BOFYA HAPA
0 Comments