Kumekua na maneno mengi juu ya ufugaji wa nguruwe, wengine wanasema nguruwe ni gharama sana katika kuwafuga na pia uleta faida kidogo na wengine husema kua nguruwe ni mnyama mwenye faida na mwenye gharama nafuu katika kuwafuga.Majibu yote haya yanaweza kua sahihi pale tu unapo chagua njia mbovu au sahihi ya kuwafuga.lakini pia napenda kukutia moyo wewe mfugaji au mtu yoyote Yule unae taka kua mfugaji wa nguruwe Kwakua nguruwe ni wanyama wenye faida kubwa sana na wasio na gharama sana katika kuwafuga pale unapo chagua kuwafuga kitalaamu.
Je wewe ni mfugaji ambae umekua ukifuga bila kupata faida, au ni mfugaji mpya unaetaka kupata elimu ya kutosha ili uweze kufuga kwa tija? Kupitia muongozo huu utaweza kujifunza namna ya kufuga kwa tija, lakini pia utapata ushauri wa kitaalamu utakao kusaidia wewe kufikia malengo yako.
KUPATA MUONGOZO WASILIANA NASI KUPITIA +255764148221 AU (rubabaimani@gmail.com)
0 Comments