MAFUNZO YA UFUGAJI WA MENDE KIBIASHARA
Ufugaji wa mende ni ufugaji unaokua kwa kasi sana hapa nchini, hii ni kutokana na faida zinazoaminika kupatikana kwa mende.Hivyo kwa namna hii kasi ya ufugaji inaongezeka, kunauwezekano mkubwa sana kwa wafugaji wengi kuingia katika ufugaji huo ha hivyo kuongezeka kwa ushindani.Ufugaji wa mende hauna masharti mengi sana na pia hua na gharama ndogo katika kufuga licha ya kuaminika kua na faida.
Kuna Aina zaidi ya 400 za mende duniani na katika hizo aina 30 pekee ndio zinapatikana katika makazi ya watu, lakini katika hizo aina 4 ndio ambazo ni sumbufu majumbani. Ila mende ambao wamefanyiwa utafiti kwaajiri ya chakula cha kuku, binadamu na hata kutengeneza dawa za urembo.
Hivyo tutakua na mafunzo maalamu ambayo yatalenga kukupa mwanga kuhusina na uhuu ufugaji, faida zake, jinsi unavyoweza kupata soko na maMbo mengi.
Mahali: Mafunzo yatafanyika online kupitia Telegram
Ada : Shillingi 4,500
Muda: kuanzi 15 hadi 20 November
Kila Mshirikia atapata PDF ya muongozo wa ufugaji wa mende buree.
KWA KUJIUNGA/MAELEZO ZAIDI TUTUMIE UJUMBE WATSUP KUPITIA NAMBA +255764148221 AU (rubabaimani@gmail.com)
Post a Comment