Group limelenga kuwakutanisha wafugaji wa nguruwe na wataaalamu mbalimbali nchini, kwa malengo ya.
1. Kuwakutanisha wafugaji nchini sehemu moja kubadilishana mawazo, ujuzi, changamoto na kusaidiana.
2.Kuwasaidia wafugaji kupata ushauri na usaidizi wa kitaalamu ndani ya wakati sahihi.
3. Kuwapatia wafugaji elimu bora ili wafanye ufugaji wenye tija.
4. Kujuzana fursa mbalimbali mfano soko, mbegu bora n.k
5.kuwasaidia wafugaji kupata mambo ya msingi wanayo yahitaji kwa wakati mfano ramani za mabanda, michanganyo ya chakula mbalimbali, ushauri wakati wa ujenzi e.t.c
Kwa ada ya shillinga 3,000 Tu kwa mwezi, utaweza kujiunga kwenye group hili bora kuliko kuwahi kutokea.
NI RAHISI !! KUJIUNGA LIPIA ADA KWA NAMBA ( 0764 148 221 ) NA TUJULISHE WHATSUP.
WATU 20 WAKWANZA WATAPATIWA MUONGOZO WA UFUGAJI WA NGURUWE KIBIASHARA BUREEE !! WAHI NAFASI NICHACHE
0 Comments