UZA BIDHAA ZA KILIMO NA MIFUGO HAPA


Tatizo la ukosefu wa soko kwa wakulima na wafugaji ni changamoto Sugu, Tumedhamilia kuhakikisha tunakusaidia wewe Mkulima/ mfugaji kuwafikia wateja sahii kwa kwati huku tukikupunguzia usumbufu na gharama za kutafuta soko.

KAMA WEWE UNAUZA CHOCHOTE KATI YA HIVI 

JAZA FOMU CHINI.

1. BIdhaa za kilimo mfano Tangawizi, mahindi

2. Bidhaa za mifugo mfano ngombe, nguruwe

3. Vifaa vya kilimo/ ufugaji Mfano Treckta, Drinkers.

BOFYA HAPA KUJAZA FOMU YA MAOMBI

Post a Comment

0 Comments