HUU NDIO UKWELI: Unaweza kua MILLIONEA kwa kufuga Nguruwe pekee, A-Z Ninichakufanya






Hili ni swali ambalo unaweza kua unajiuliza, na jibu lake ni ndio

kwa sababu wewe hauta kua wa kwanza. Inawezekanaje na nitafanyeje ?

Tazama video, subscribe na bofya kwengele kujifunza mengi na kupata 

updates za video zetu. Mjulishe na mwenzako na yeye ajifunze.


Endapo ukiamua kufuga nguruwe kitaalamu ni jambo lisilofichika 

lazime mradi wako uwe wenye tija. 

Ninapo sema kufuga kitaalamu inamaana kufata kanuni na masharti 

ya ufugaji bora wa nguruwe. Huu ndio msingi wa mafanikio katika 

ufugaji wowote ule ulioendelea.

Inamaana 

uwe na mbegu bora, banda bora na safi, chakula bora na chakutosha, chanjo

 na tiba kwa wakati, ulinzi, elimu ya ufugaji, nguvu kazi ya kutosha, ufatiliaji 

wa karibu na vifaa vyote vinavyoitajika.

na mpango mkakati mzuri wa namna ya unayotaka kufanya kufanya ufugjaji huo.

kwa sababu tunafahamu ufugaji hasa wa nguruwe ni uwekezaji ambao unaitaji 

muda kuanza kukupatia faida. Hivyo ni lazima uwe na mkakati mzuri utakao 

kusaidia kupata faida ndani ya muda unaostahili.


Hivyo vyote kwa ujumla vitakusaidia wewem mfugaji kupunguza gharama za ufugaji

 na kupata matokeo mapema, kwa sababu kila kitu kinafanywa kwa usahii. 


tuchukulie mfano endapo umenunua nguruwe bora majike wakubwa mawili ukaamua kufuga kitaalamu.

ukiwapandisha ndani ya miezi michache watakua wakupatia watoto, na tuchukulie mfano kila mmoja

amezaawatoto kumi. Inamaana ndani ya mwaka mmoja utakua na zaidi ya nguruwe 20 na sio wawili tena.

na kama tunavyofahamu kwamba kunahitaji na uhaba wa nguruwe bora, hviyo ukiamu kuuza baadhi ya nguruwe

unaweza kupata pesa nzuri kuendeleza mradi wako na kutengeneza faida ya kutosha.


huo ni mfano tu ambao unaweza kukuonesha kwamba ufugaji wa nguruwe unaweza kukupatia pesa ya kutosha.

Post a Comment

0 Comments