Vitunguu ni zao lenye faida kubwa endapo utafata kanuni
za kilimo bora. Katika shamba la ekari moja unaweza kupata faida
hadi million saba, endapo utalima kitaalamu.
Kutokana na maombi ya wakulima wengi tumekuandalia mafunzo maalumu
ambayo yatakusaidia kufanya kilimo hiki kwa tija na kupata faida.
MAFUNZO YATAHUSISHA.
1. Muongozo kwa njia ya video na Maandishi
2. Mpango biashara wa mradi
3. Ushauri na usaidizi wa kitaalamu wakati wote.
4. Makadilio na mchanganuo wa mtaji na faida
5 Usaidizi wakati wote.
KUANZIA OCT 1-8/ 2021 NA KUFANYIKA KUPITIA WHATSUP
KUJIUNGA
> LIPIA ADA TSH 10,000 BADALA YA TSH 15,O00 KABLA YA SEPT 20/2021
> 0764148221 IMANI LUBABA EMMANUEL
WASILIANA NASI KWA MAELEZO ZAIDI:
0764 148 221
RUBABAIMANI@GMAIL.COM
HTTPS://TANZANIANAKILIMO.BLOGSPOT.COM
HTTPS://YOUTUBE/RUBABAIMANI
0 Comments