MIKOA INAYOKUBALI ZAO LA VITUNGUU NI HII

 Vitunguu ni zao LA bustani lisilo endana na mvu nyingi,na ufanya vizuri zaidi katika maeneo yenyebaridi kiasi wakati wa kiangazi pamoja na ufukuto wa ukungu wakati wa hatua za kukomaa.Lakini pia husitawi vizuri kwenye udongo wenye rutuba ya kutosha, unaoruhusu mizizikupenya na unaohifadhi unyevu kama vile udongo wa nusu mfinyanzi nusu tifutifu. Kwahapa Tanzania vitunguu hufanya vizuri na kulimwa katika maeneo mbalimbali mfano.


Morogoro sehemu za Lumuma na Malolo
Arusha mangora na karatu
Babati Manyara,
Iringa kilolo mpakani kwa mto ruaha
Singida

KWA USAIDIZI NA USHAURI WA KITAALAMU WASILIANA NASI
EMAIL: RUBABAIMANI@GMAIL.COM
PHONE: +255(0) 764148221
WEB; HTTPS://TANZANIANAKILIMO.BLOGSPOT.COM
INSTAGRAM: @tanzania_na_kilimo
YOUTUBE: @RUBABA TV



Post a Comment

0 Comments