UNAITAJI MTAJI KUFANYA KILIMO? TAZAMA HII

Kitu cha msingi kwanza lazima uwe na kitu ambacho kitaelezea vizuri mradi unaotaka kuufanya, jinsi
gani itaingiza pesa lakini kiasi cha mtaji na jinsi kitakavyo tumika.

1.Mikopo midogo- Watu binafsi kupitia mabenk mfano wafanyakazi, kwa vijana kuna mikopo ya vikundi
2. Kushiriki mashindano mbalimbali- uzuli ni kwamba kunamashindano mengi kwa vijana wasomi wanaweza
kushiliki kwa kuelezea aidia mbalimbali za miradi na kujipatia mtaji. unaweza kuomba ukiwa peke yako au
kikundi cha watu.
3. Ndugu na Marafiki- unaweza kuwaelezea kwa kina kuhusu biashara unayotaka kufanya ndugu ambao unaamini
watakua na msaada na uwezo wa kukusaidia.

4. Mikopo kutok kwa ndugu au marafiki- kwa kuweka makubaliano maarumu.
5. Kufanya kama kikundi- itasaidia kuusanya kidogo kidogo na kupata.
6. Kuweka akiba- unaweka marengo itakusaidia
7. Kufanya ushirikiano- mfano wewe unashamba, mwezako anamtaji mwingine anaujuzi.

 

TAZAMA VIDEO KAMILI KUJIFUNZA ZAIDI


 

No comments