Usikurupuke !!Usianze Kilimo bila kutazama hii "ITAKUSAIDIA SANA" Kufanya kilimo kwa mafanikio makubwa.



1. fikiri kitu ambacho unamapenzi nacho, angalia katika eneo hilo itakusaidia kukupa mwanga kipi cha kufanya
mfano hupendi kazi za kuhusisha wewe kufika shambani sana unaweza kuchagua mazao ya muda mrefu mfano miti, lakini kama
unapenda unaweza kuanza ata kufuga  ng'ombe wa maziwa.

2. Angalia kiasi cha mtaji ulichonacho au unachoweza kufanya, hii itakusaidia kufanya maamuzi sahihi kulingana na uwezo
wako. mfano unauwezo wa kupata million moja, moja kwa moja aina ya kilimo au ufugaji kulingana na kiasi chako.

3. jihusishe na shughuri za kilimo moja kwa moja itakupa picha na mwanga wa aina mbalimbali zakilimo jinsi kinavyofanywa.
hivo kukupa mwanga na picha kamili wakati wa kufanya uchaguzi.mfanokujitolea, kutembelea au kusoma majarida mbalimbali
4. tafuta connection na watu mbalimbali wanaoweza kua msaada kwa namna moja au nyingine mfano wakulima, wataalamu,wauzaji
wa vifaa  mbalimbali na vikundi mbalimbali.

Licha ya hayo yote lazima ujiulize ni kwanini unaanza kilimo, unamalengo gan hii itakusaidia sana kwani kitu kinachofanywa
kwa malengo ndio kinafika mbali



No comments