MAFUNZO JINSI YA KUFANYA KILIMO/UFUGAJI KIBIASHARA



Habari 

Kwa majina naitwa Imani Lubaba, Mtaalamu mzoefu wa kilimo na ufugaji, lakini pia muanzilishi

wa majukwaa ya mtandao TANZANIA NA KILIMO Na Rubaba TV ambayo yamejikita hasa kuwasaidia wakulima

au watu wanaotaka kuingia katika kilimo na ufugaji, kuweza kufanya kilimo/ufugaji wenye tija.


Nakukaribisha katika mafunzo haya (JINSI YA KUFANYA KILIMO/UFUGAJI KIBIASHARA)

yaliyolenga hasa kukufundisha, kukujuza na kukupatia maarifa.

na ujuzi wa kutosha wa jinsi unaweza kufanya kilimo/ ufugaji kibiashara. 


Mafunzo haya yamewalenga hasa wakulima wapya, wakulima wa zamani na mtu yeyote anaependa

kufahamu au kujifunza namna gani anaweza kugeuza kilimo/ ufugaji kua biashara yake ya kudumu

na kufanya vizuri katika biashara hiyo.


Katika mafunzo hayo utajifunza vitu kama vile

1. jinsi ya kufahamu fursa zilizopo kwa sasa katika kilimo/ufugaji

2. Hatua kwa hatua jinsi ya kufanya kwa tija kilimo/ufugaji uliochagua kufanya

3. Utafahamu jinsi ya kupata mtaji/ au kuanza kilimo/ufugaji ukiwa na mtaji mdogo.

4. Jinsi ya kupata soko la kudumu la bidhaa zako.

5. jinsi ya kuongeza kipato cha ziada katika mradi wako na vingine vingi.


Unaweza kua wakwanza kupata mafunzo hayo kwa kuweka onda ya CD ya mafunzo mapema.

Kwa bei ya shillingi elfu 5 kwa soft copy na Elfu 10 kwa Hardcopy CD.


Kuweka oda yako mapema 

1. Lipia ada kwa namba 0764 148 221 IMANI EMMANUEL Na tujulishe kupita watsup.


 Au tufatilie katika mitandao yetu kufahamu zaidi.

Www.tanzanianakilimo.blogspot.com

youtube/ rubabaimani.

No comments