JINSI YA KUTAMBUA KAMA UNATENGENEZA FAIDA AU HASARA KATIKA MRADI WA KILIMO/ UFUGAJI

 Ni muhimu kupima kama mradi unakuletea faida au hasara kulingana na malengo uliyo jiwekea, hii itakusaidia wewe mkulima au mfugaji kufahamu kama uendelee na mradi wako au uache na kufanya kitu kingine. Lakini pia inakusaidia kufahamu kama kunavitu unatakiwa kuboresha ili uweze kufanya mradi wenye tija.

Tazama video kujifunza na kufahamu mengi tuliyokuandalia



Post a Comment

0 Comments