🚜 UFUGAJI WA NG’OMBE WA MAZIWA — FURSA INAYOIBUKA KWA KASI! 🐄

0
Kwa sasa, ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ni moja ya miradi inayoshika kasi zaidi Tanzania.

Kwa sasa kumekua na muitikio mkubwa sana na binafsi kila siku tunapokea simu kutoka kwa watu binafsi, taasisi, makanisa, wastaafu na vijana wanaotaka kuanza — na hii si bahati nasibu, ni mwelekeo mpya wa kiuchumi unaojenga ajira na uhakika wa kipato.

💡 Kwa nini sekta hii inakua kwa kasi?

🌱 Hii ni fursa ya kizazi chetu — tusikubali iwapite!
Ikiwa umewahi kufikiria kuanzisha mradi wa ng’ombe wa maziwa, sasa ndio wakati sahihi zaidi.

👨🏽‍🏫 Ili kupata elimu ya kina kuhusu:
✅ Aina bora za ng’ombe wa maziwa
✅ Ujenzi sahihi wa banda
✅ Lishe, afya na uzalishaji
✅ Hesabu za faida na gharama
✅ Masoko ya uhakika

Jiunge nasi kwenye Group la Mafunzo ya Rubaba Media (Rubaba TV) — ambapo unapata elimu, ushauri na ufuatiliaji wa kitaalamu kila wiki.

📌 Ada ya mwaka mzima: Tsh 30,000 tu

💳 Lipa kupitia:

📲 Baada ya malipo, tuma ujumbe wa uthibitisho WhatsApp:
👉 0764 148 221
🗣️ Andika neno NIUNGE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

write your comment here

write your comment here

Post a Comment (0)

buttons=(Accept !) days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top