KILIMO BORA CHA CHAI
UTANGULIZI
ASILI; Asili ya chai bado haijajulikana hasa ni wap japo kua inaaminika kua china.
KUSAMBAA; Nchi zinazo zalisha chai kwa wingi kwa sasa ni china, japan, indonesia na kenya ikiwa nchi ya tatu kwa uzalishaji baada ya india na sirilanka.
kenya- milima ya Meru, kericho, endebess, subukiya na makuru
Tanzania- bukoba, iringa, kilimanjaro, mbeya na njombe
• Tanzania ni nchi ya nne kwa uzalishaji wa chai Africa
baada ya Kenya, Malawi na Uganda, inazalisha kama tone 32000 kwa mwaka .
AINA•
Kuna aina mbili za chai na wazalishaji wote huzalisha
kutikana na haya makundi mawili
China tea(camellia sinensis ) inaulefu wa m6, pia inaklua
polepole, fupi na majani ya kijani iliyo koza,
Assam tea inakua katika maeneo ya baridi pia nimikubwa
kidigi ukilinganisha na china tea
MAHITAJI YA MAZINGIRA
•Chai hustawi vizurio katika maeneo yenye mvua kiasi 1500- 2500mm lakini inaweza kukua pia katika maeneo ambapo hakuna mvua kubwa sana yaani 1200 mm mfano bukoba
JOTOLIDI • inakua vizuri kwenye maeneo ya joto lidi 18 –
20°C •
.MVUA • kiasi
cha mvua kinacho itajika 1500 – 1750mm
ndani ya mwaka • mvua ndefu husabibisha mmomonyoko Higher rainfall causes
erosion through soil run off especially on steep slopes.pia hata 1400mm pia inaweza kukua katika mvua chache na
mawingu madogo au umwagiliaji
. .
UDONGO• inakua vizuri kwenye udongo wenye asili ya volcani .
• udongo unatakiwa uwe na urefu kwenda
chini(1.8 – 2.0m), unyevu wa kutosha. • uwe na rutuba na pia inafanya vizuri kwenye udoingo wa acid (optimum PH – value 4.0 – 6.0)
UNYTEVU • 70 –
90%. Unyevu mwingi ndio unafaa zaidi
kwenye maeneo yasio na mvua za kutosha au kwenye ukame. • katika kippindi cha
kiangazi miti ya kivuli nu muhimu kwakua
huchangia sana katika kuhifadhi unyevu.
• pia nimuhimu sana kupanda miti ili kupunguza kasi ya upotevu wa maji.
Masaa ya kuchomoza kwa jua• Angalau masaa matano (5) kwa
siku.
UPANDAJI
;Chagua kitalu kizuli , eneo la kitalu liwe limewekwa vizuri
kwa ajili ya kupunguza kasi ya upepo pia
liwe eneo ambalo jua linafika kwaajili ya kuwezesha mimea inayo kua kupat
mwanga wa jua.
Udongo wa kitalu •nimuhimu eneo kua karibu na udongo mzuri,
udongo wajuu unatakiwa kua na PH 5.5 na udongo wa chini PH5 pia udongo
unatakiwa kua na rutuba ya kutosha.
Unaweza kupanda kwa mbegu au kwa kukata .
Mbegu
Mbegu zinakuzwa kwenye kitalu. Baada ya kupanda mimea huamishiwa
shambani pale inapo fikisha miezi 6 hadi 12 .
Kukata
Matawi yaliyo katwa inawekwa katika magunia yenye
unyevu na kutunzwa kivulinu ambapo
yanweza kumwagiliziwa kwa uharaka, zingatia kuweka kivulini, pia unatakiwa
kukata mashina yebye umri wa miezi 5-7.
•unatakiwa kukata shina lenye jan 1 lenye ulefu wasc m 3- 4 lenye kikonyo chenye urefu wa 3-4 cm, pia loweka kwa dakika 30 kabla ya
kupanda.
KUANDAA SHAMBA
•Ardhi ambayo haijawai kulimwa ndio inayo faa zaidi eneo
ambalo limeshalimwa linatakiwa kusafishwa kwa kuondoa visiki ili kuzuia
magonjwa ya mizizi.
• magugu yote yanatakiwa kuondolea na mashimo ya kupandia hua yanatakiwa kua na
upana was m 30 na urefu was m 45.
Nafasi ya kupanda ni 1.5m mmea kwa mmea na 0.75m kati ya msitari kwa mstari au 1.2m
mmea kwa mmea au o.9m mstari kwa mstari
ambayo hukitumia nafasi hiyo utapata
mimea 8000- 9000 /ha
BAADA YA KUPANDA
• chai mda mwingine
hupandwa kwenye kitalu
KUWEKEA NYASI. •kuwekea
nyasi husaidia katika kutunza unyevu na kuzuia mmomonyoko na kuzuia magugu
kuota kwa kasi. Hakikisha nyasi unazoweka hazigusi mche .unaweza kuweka nyasi
kwa kuzungushia mche.
MBOLEA
Mbolea ya viwanda ndio inafanya vizuri kwenye zao la chai
zaidi ya mbolea za asili, na kiasi cha kuweka mbolea nikama ifuatavyo.
Nitrogeni •
Nitrogen nimbolea ambayo ni muhimu sana kwenye zao la chai. Katika mwaka
wa kwanzana wapili weka ½ na rudia ¾ ya kiasi kinacho itajika. Na
unatakiwa kuweka mbolea yenye nitrogen kuanzia mda wa miezi mitatu. Unaweza
kutumia NPK.
•Mbolea ya kukuzia
usitumie CAN kwa sababu Ca inazuia mmea kuchukua K yaani Potassium.
KUZUIA MAGUGU
Mmea mdogo- katika mimea midogo hua hua viua gugu hutimka
zaidi unaweza kutumia viua gugu kama hii uhua magugu mengi ya muda mrefu na
aina mazara katika udongo
•viua gugu hivyo sio
kwamba huua magugu kwa asilimia 100 il unaweza kutumia mfano kupruni
kumbuka kuondoa magugu yote kabla ya kupanda.
Katika mimea mikubwa • magugu huzuiwa na kuweka kivuli
pamoja na kuweka nyasi(mulching) lakini pia viua gugu vinaweza kutumika pia.
UMWAGILIZIAJI
Kumwagiliza wakati wa kiangazi au ukame n I muhimu sana
KULINGANISHA MIMEA NA KUPLUNI •
Hii ni muhimu sana kwa sababu inawezesha mmea kua na shape
zuli pamoja na urefu unao staili.
WADUDU
Wadudu wanao hathiri sana chai ni kama ifuatavyo
(i)Helopeltis bugs
(Helopeltis schoutedeni)
(ii) Black Citrus
Aphid (Toxoptera aurantii)
. Termites
African field cricket
Scales Tea borer
Unaweza kuzuia kibaologia kwa kutumia wadudu wa African weaver ants au kwa kutumia mti wa neem au kwa kutumia viua dudu.
MAGONJWA
(i) Armilaria root Rot (Armillariella mellea)
Back Root Rot
(Rosellinia arcuata)
Brach and colour Canker, brown and grey blight
grey blight brown blight
Brach and colour Canker
Unaweza kuzuia wadudu kwa kutumia viua dudu.
KUVUNA
Chai huvunwa kwa kukwanyua , kuvunwa hua unavuna skwa
enterval ya siku 10 au siku 6 hadi 14
inategemea na hali ya hewa. Mda wa kuvunwa kuanzia mda wa kupanda inategemea na
njia ulio tumia kupanda yaani unavuna baada ya miaka 2 kama ulitumia njia ya
kukata na miaka 4 kama ulitumia mbegu.
Kwa mwaka unaweza kuvuna 1000 -1300 kg/ha kwa
chai ambayo imesindikwa na mara 5 yake ya majani ya kijani chini ya usimamizi mzuri, na ukiwa na mtu
mwenye uzofu wa kuvuna anaweza kuvuna 30 kg kwa siku.
Post a Comment